Algeria imeonyesha in uwezo wakushinda kwa kishindo baada ya kuichapa Ethiopia kwa mabao 7-1 katika mechi ya kuwania kufuzu kucheza Afcon.
Ikiongozwa na Riyad Mahrez, Algeria iliizidi kila kitu Ethiopia iliyokuwa ugenini na kuibuka na ushindi huo wa mabao 7-1.
Kama unakumbuka, Algeria iliwahi kutoa kipigo kikali cha mabao saba kwa Taifa Stars.
0 COMMENTS:
Post a Comment