HIVI NDIVYO DIMITR PAYET ALIVYOITUNGUA RUSSIA AKIITUMIKIA UFARANSA KWA MPIRA ULIOKUFA Mshambuliaji wa West Ham United, Dimitri Payet safari hii akiitumikia timu yake ya taifa ya Ufaransa dhidi ya Russia. Katika mechi hiyo ya kirafiki, Ufaransa ilishinda kwa mabao 4-2 na Payet akiwa kati ya wafungaji.
0 COMMENTS:
Post a Comment