March 21, 2016Mechi kubwa ya watani wa jadi nchini Uturuki, Galatasaray dhidi ya Fenerbahçe imeahirishwa katakana na hofu ya ugaidi, mechi hiyo ilipangwa kuchezwa jana jijini Istambul.

Kumekuwa na matukio mengi ya ugaidi na hofu kubwa. Hivi karibuni bomu liliripuka, likaua na kujeruhi kadhaa.
Mechi iliyoahirishwa ilikuwa ichezwe kwenye Uwanja wa Turk Telecom wa Galatasaray Lakini uamuzi ukawa ni kuiahirishwa.

Siku chache zilizopita Waisrael watatu, Muiran mmoja waliuwawa huku wengine 39 wakijeruhiwa baada ya bomu kuripuka katikati ya mji wa Istambul.

na watu wengi e.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV