HII NI AKAUNTI YA TWITTER YA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF), ALIWEKA AKISEMA MATOKEO YA MWISHO KATI YA TAIFA STARS NA CHAD NI 0-0, LAKINI UKWELI NI STARS IMESHINDA 1-0. TWITTER YA MALINZI, MARA NYINGI IMEKUWA IKIANDIKA MATOKEO AMBAYO SI SAHIHI. HATA HIVYO, NI KOSA LA KAWAIDA LA KIBINDAMU.
0 COMMENTS:
Post a Comment