Huyu ni Jay Jay Okocha, gwiji la soka nchini Nigeria na Afirka kote. Hapa alikuwa na umri wa miaka mitatu tu.
Angalia mchezaji huyo alivyofanikiwa baadaye na kucheza kwa mafanikio katika nchi mbalimbali za Ulaya kama England na Ujerumani.
Lakini katika picha hii anaonyesha burudani yake ni soka. Tuwaunge mkono watoto wetu.
PICHA KWA HISANI YA OKOCHA.
0 COMMENTS:
Post a Comment