Kocha Kinnah Phiri ameteua wachezaji 18 watakaosafiri kutoka Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam kuivaa Simba.
Hata hivyo uongozi wa Mbeya City umefanya siri kwa baadhi ya majina ingawa kati ya hao.
Kipa Haningtony Kalyesubula, Hassan Mwasapili, Temi Felix, Haruna Shamte, Yohana Moriss, Kenny Ally, Geoffrey Mlawa, Issa Nelson, Haruna Moshi Boban, Ramadhani Chombo ‘Redendo’ na Raphael Alfa. Wakati kipa Juma Kaseja imeelezwa alikuwa nje ya kambi kutokana na masuala ya kifamilia.







0 COMMENTS:
Post a Comment