March 8, 2016


Yanga inataka kitu kimoja tu leo, inataka kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara na kuishusha Simba.

Ili ifanikiwe, lazima iifunge African Sports katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa.

Washambuliaji wake watatu, Simon Msuva, Amissi Tambwe na Donald Ngoma waliobandikwa jina la MTN watakuwa kazini kupambana kuwamaliza African Sports.

Simba ipo kileleni ikiwa na pointi 48, Yanga inafuatia ikiwa na 47 sawa na Azam FC. Hivyo ushindi wa leo, utaifanya ipande kwa pointi mbili dhidi ya Simba na lazima ikomae kuupata.


Si kazi rahisi kwa kuwa African Sports iko katika nafasi ya 15 katika timu 16. Lazima itataka kupambana kujikomboa.

2 COMMENTS:

  1. Eti MTN!!!,wabongo tunacopy kila kitu.Sijaona la Maana toka kwao zaidi ya sifa za kijinga wanazomwagiwa na waandishi uchwara.Mchezaji nwenye uwezo hawezi kucheza Tanzania,hao ni wachezaji wa kawaida na ndiyo maana wapo bongo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jifunze kupenda cha kwako,kwani TZ haiko kwenye ramani ya soka?Kwa hiyo una maana hata hao wachezaji wa nje wanaocheza Tanzania si mali kitu?hivi unategemea kila mchezaji wa TZ acheze nje?AU ni nchi gani kati ya hizo unazozikubali wewe ikatoa wachezaji wake nyota wote?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic