Nahodha wa Brazil, Neymar akipiga selfie na wachezaji wengine wa timu hiyo wakiwa wanajiandaa na mechi yao ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay.
Mechi mbele yao ni ngumu, lakini haiwanyimi raha kama unavyowaona wengine kama Oscar, Dani Alves na Fernandinho
0 COMMENTS:
Post a Comment