Mshambuliaji wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu naye ameungana na kikosi cha Taifa Stars kilicho nchini Chad.
Tayari wachezaji wengine wote akiwemo Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji, wote wakiwa tayari kuivaa Chad ikiwa kwao jijini ND’jamena hii ni katika harakati za kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika.
0 COMMENTS:
Post a Comment