Ufaransa imeinyoosha Uholanzi kwa kuifunga mabao 3-2 licha ya kuwa iko nyumbani huku Griezman, Giroud na Matuid aliyekuwa nahodha katika mchezo huo wakiibuka mashujaa ya Ufaransa.
Uholanzi ambayo ilikuwa inaomboleza kifo cha gwiji wake, Johan Cruyff ilishindwa kuonyesha cheche nyumbani katika mechi hiyo ya kirafiki ya vigogo hao.
Holland (4-4-2): Cillessen, Veltman, Bruma, Van Dijk, Blind, Willems (Van Aanholt 78), Klaassen (Wijnaldum 76), Clasie (Depay 47), Sneijder (Bazoer 37), De Jong (Janssen 80), Promes (Afellay 45)
Subs not used: Karsdorp, Letschert, Narsingh, Huntelaar, Zoet, Vermeer
Scorers: De Jong 47, Afellay 86
France (4-3-3): Mandanda, Jallet, Varane, Koscielny, Evra (Digne 45), Pogba (Sissoko 87), Diarra (Kante 45), Matuidi, Griezmann (Martial 45), Giroud (Gignac 73), Payet
Subs not used: Lloris, Sakho, Cabaye, Sagna, Coman, Mathieu, Costil
Booked: Matuidi
Scorers: Griezmann 6, Giroud 13, Matuidi 87
0 COMMENTS:
Post a Comment