BAADHI YA PICHA ZA KOCHA MPYA CHELSEA, WAKATI AKIWA MWANASOKA, AKIWA KOCHA Antonio Conte amesaini miaka mitatu kuifundisha Chelsea akitokea Juventus aliyowahi kung’ara akiwa mchezaji na baadaye kocha. Conte sasa anachukua nafasi ya kocha wa muda wa Chelsea, Guud Hiddink. Cheki baadhi ya picha zake.
0 COMMENTS:
Post a Comment