Beki Shabani Ibrahim maarufu kama Baharia, alimng’ang’ania ile mbaya mshambuliaji Amissi Tambwe wakati Yanga ilipoifunga Kagera Sugar kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Beki huyo alimng’ang’ania ile mbaya jamaa, kiasi ikawa kama wanacheza ‘bluuz’.
Hata hivyo baadaye Ibrahim alilambwa kadi ya pili ya njano na kuzaa nyekundu baada ya kucheza kindava.
0 COMMENTS:
Post a Comment