HILI BAO SI MCHEZO; BAYERN MUNICH HILI LA SAUL HAWATALISAHAU HATA KIDOGO... SAUL NIGUEZ WA ATLETICO MADRID AKIWACHAMBUA VIUNGO NA MABEKI WABAYERN MUNICH NA KUPIGA BAO PEKEE LA MCHEZO KATIKA DAKIKA YA 11. BAYERN MUNICH HAWATALISAHAU BAO HILO.
watangazaji waache kutangaza hukumu za uchochezi watangaza soka linalopigwa uwanjani bila upendeleo.
ReplyDelete