KATIKA PICHA; HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOENDELEA KULA VIPORO KWA KUITWANGA MWADUI YA JULIO 2-1 Yanga imeitwanga Mwadui FC kwa mabao 2-1 na kubaki kiporo kimoja tu cha Ligi Kuu Bara. Mabao ya Simon Msuva na Haruna Niyonzima, yameifanya Yanga kuongeza pointi nyingine tatu muhimu. CHEKI PICHAAAAZ...
0 COMMENTS:
Post a Comment