April 6, 2016

WACHEZAJI NA VIONGOZI WA AL AHLY WAKIWASILI KWENYE HOTELI WATAKAYOISHI HADI WATAKAPOONDOKA HAPA NCHINI....

Kikosi cha Al Ahly kimetua nchini tayari kuwavaa Yanga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumamosi.

Kikosi kizima chini ya Kocha Mholanzi, Martin Jol kimewasili nchini saa 12 asubuhi tayari kwa maandalizi ya mwisho.


Wachezaji wa Ahly walionekana kuwa wagumu kuzungumza na waandishi. Waliingia kwenye basi na kuanza safari ya kwenda kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempensky walipofikia.

KOCHA JOL...
1 COMMENTS:

  1. Hahahahahahah!kwa wale wenye kuona suti ndio dili timu inaposafiri kwa mashindano kimataifa wamepata jibu lingine hapa.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV