ATLETICO HAWA HAPA WANAONDOKA MADRID KWENDA MILAN, ITALIA KUWAVAA REAL MADRID FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA NI JUMAMOSI. REAL MADRID DHIDI YA ATLETICO MADRID, NGOMA INAPIGWA JIJINI MILAN, JUMAMOSI. ATLETICO MADRID WAKO TAYARI, HAOO WANASAFIRI ZAO KWENDA ENEO LA TUKIO.
0 COMMENTS:
Post a Comment