HIVI NDIVYO SERENGETI BOYS ILIVYOKOMAA NA KOREA NA KUTINGA NUSU FAINALI INDIA TIMU YA VIJANA YA TAIFA, SERENGETI BOYS IMETINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA AIFF INAYOFANYIKA NCHINI INDIA. ILIINGIA BAADA YA SARE YA MABAO 2-2. CHEKI ULIVYOKUWA MTITI UWANJANI....
0 COMMENTS:
Post a Comment