May 17, 2016
Kikosi cha timu ya taifa ya chini ya miaka 17, Serengeti Boys kiliwakomalia Marekani na kupata sare ya bao 1-1 katika michuano ya vijana inayoendelea nchini India.


Haikuwa kazi rahisi, sasa ni mechi dhidi ya wenyeji India mechi itakayopigwa leo, halafu Korea Kusini. Angalia picha vijana wetu walivyojitahidi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV