JUMA ABDUL JAFFAR |
Beki wa kulia wa Yanga, Juma Abdul amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho.
Yanga ndiyo mabingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kuitwanga Azam FC kwa mabao 3-1 katika mechi ya fainali kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.
Wakati Juma anakuwa mchezaji bora, Kipa wa Azam FC, Aishi Manula ametangwa kuwa kipa bora na mshambuliaji wa Ndanda FC, Atupele Green ndiye mpachikaji mabao bora.
0 COMMENTS:
Post a Comment