May 31, 2016
Kitendo cha Kocha wa timu ya taifa ya England kumtema kiungo Danny Drinkwater kimezua gumzo kubwa katika mitandao mbalimbali.

Hogdson amemtema Drinkwater kutoka katika kikosi cha mabingwa wa England, Leicester City huku akimpa nafasi kinda Marcus Rashford kwenda katika kikosi kitakachoiwakilisha England katika michuano ya Euro 2016 inayofanyika nchini Ufaransa.

Kikosi kamili hiki hapa.

1. Joe Hart
2. Kyle Walker
3. Danny Rose
4. James Milner
5. Gary Cahill 
6. Chris Smalling
7. Raheem Sterling 
8. Adam Lallana
9. Harry Kane
10. Wayne Rooney
11. Jamie Vardy 


12. Nathaniel Clyne
13. Fraser Forster
14. Jordan Henderson
15. Daniel Sturridge
16. John Stones
17. Eric Dier
18. Jack Wilshere
19. Ross Barkley
20. Dele Alli
21. Ryan Bertrand
22. Marcus Rashford

23. Tom Heaton 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV