May 24, 2016


THOMAS ULIMWENGU WA TP MAZEMBE
Shirikisho la Soka la Afrika (Caf), leo limepanga ratiba ya Kombe la Shirikisho na Yanga ya Dar es Salaam itacheza dhidi ya TP Mazembe.

Yanga imepangwa kundi A na timu za Mazembe, Madeama ya Ghana pamoja na Mo Bejeia ya Algeria.

Kundi A
Yanga
Mo Bejala (Algeria)
TP mazembe

Medeama (ghana)

Kundi B: 
Etoile du Sahel
Fath Union Sport 
Kawkab Athletic

Ahli Tripoli

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV