SIMBA VS AZAM ILIKUWA MTITI KWELI HALAFU BONGE LA GEMU, CHEKI PICHAZEEEEE MECHI YA LIGI KUU BARA KATI YA SIMBA DHIDI YA AZAM FC IMEMALIZIKA KWA SARE YA BILA BAO. LAKINI ILIKUWA MECHI NZURI YA KUTAZAMA ILIYOKUWA NA UPINZANI MKUBWA LAKINI TAFRANI WACHEZAJI WAKITAKA KUTWANGANA MAKONDE. CHEKI MWENYEWE.....
bonge la game wapi wakati timu zilicheza mpira wa kuogopana hauna hata malengo
ReplyDeleteAZAM WANGEKUWA MAKINI WANGEMFUNGA MNYAMA.
ReplyDelete