May 18, 2016


John Terry amekubali kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Chelsea.

Mapenzi ya dhati kati ya pande hizo mvili yataendelea zadi baada ya Terry kukubali kusaini mwaka mmoja zaidi.

Awali ilionekana kama angeondoka baada ya kuwa ameishacheza mechi 703 na kuchukua makombe lukuki.

Lakini sasa anabaki Chelsea kwa mwaka mwingine.MECHI YA KWANZA: Oktoba 28, 1998 vs Aston Villa
MECHI: 703
MABAO: 66
MAKOMBE:
 Premier League (4)
(2005, 2006, 2010, 2015), 
Champions League (1)
(2012), 
Europa League (1)
(2013),
 FA Cup (5)
 (2000, 2007, 2009, 2010, 2012),
 League Cup (3)
(2005, 2007, 2015), 
Community Shield (1)
 (2009) 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV