May 18, 2016

WACHEZAJI WA YANGA, DAKIKA CHACHE KABLA YA KUONDOKA KWENYE HOTELI YA DIAMANTE KWENDA UWANJANI
Tayari mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wako uwanjani kuivaa Sagrada Esperanca ya Angola katika mechi ya pili ya Kombe la Shirikisho.


Mechi ya kwanza, Waangola hao walilala kwa mabo 2-0. Wanaonekana wamepania kusawazisha kuanzia nje ya uwanja kutokana na figisu mfululizo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV