WATU WANAVYOJUA KUTUMIA FURSA, JEZI YA MAN UNITED NA JINA LA JOSE MOURINHO MTAANI Tayari jezi za Manchester United zenye jina la Kocha Jose Mourinho ziko mtaani, hii inaonyesha namna gani watu wanajua kutumia fursa. Kocha huyo anatarajia kujiunga rasmi na Manchester United ndani ya saa chache.
0 COMMENTS:
Post a Comment