ABRAMOVICH NAYE HUYO, ATUPIA KURA ZAKE KWENYE BOKSI... Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Yahaya Akilimali maarufu kama Abramovich naye amepiga kura yake katika uchaguzi wa klabu ya Yanga unaoendelea kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment