CLEMENT SANGA NAYE APIGA KURA YAKE, MAMBO YANAENDELEA... Makamu Mwenyekiti wa Yanga anayegombea nafasi yake, Clement Sanga naye ametupia kura katika uchaguzi wa klabu ya Yanga unaoendelea kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment