June 16, 2016

Kocha wa zamani wa Chelsea, Roberto Di Matteo amerejea England safari hii akichukua kazi ya kuinoa Aston Villa ambayo imeporomoka hadj daraja la kwanza.

Di Mateo ,46, aria wa Italia alionekana ni mwenye furaha wakati akiwa na mmilili wa Aston Villa, Tony Xia ambaye ni mmiliki mpya na tayari Di Mateo ameishaanza kujenga kikosi chake upya.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV