June 19, 2016

KITENGE AKIKAGUA MAKABRASHA YAKE AMBAYO ATAYATUMIA KURUSHA MECHI KATIKA YA WENYEJI MO BEJAIA DHIDI YA WAWAKILISHI WA TANZANIA, YANGA.

Maulid KItenge amesisitiza kwamba atatangaza moja kwa moja mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Mo Bejaia.

Mechi hiyo ambayo Yanga ipo ugenini inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini na Kitenge amezungumza na SALEHJEMBE kutoka Bejaia, Algeria na kusema atairusha mechi hiyo Live.


“Tutairusha mechi moja kwa muja kupitia 93.7, hivyo waambia Watanzania wakae mkao wa kula na mambo yatakwenda vizuri kabisa,” alisema akizungumza kutoka mjini Bejaia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV