HII NDIYO HOTELI WALIYOFIKIA YANGA MJINI ANTALYA, UTURUKI....WAMETUA SALAMA SALIMINI Kikosi cha Yanga ambacho kimeondoka leo alfajiri kipo mjini Antalya nchini Uturuki ambako wameweka kambi kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria.
0 COMMENTS:
Post a Comment