June 19, 2016


Beki mpya wa Yanga, Hassan ameonekana kushindwa kuficha furaha yake kwa kuendelea kutandika picha maarufu kama Seilfie.

Kessy ambaye amejiunga na Yanga akitokea Simba, amekuwa kivutio kwa wapenda soka kutokana na kupiga picha mfululizo.

Hata hivyo, Kessy ameshindwa kuonyesha kuwa ni muoga au mnafiki, badala yake kwa kujiamini ameendelea kufanya anachokiamini ambalo ni jambo zuri.


Beki huyo mwenye kasi, tayari yuko Algeria na kikosi cha Yanga ambacho usiku wa kuamkia kesho kitakuwa kazini kuivaa Mo Bejaia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV