June 19, 2016

Lionel Messi ameweza kufunga bao moja na kutengeneza mengine mawili wakati Argentina ikiitwanga Venezuela kwa mabao 4-1 na kutika nusu fainali ya Kombe la Amerika maarufu kama Copa America.

Wakati Messi akifanya yake, mpinzani wake mkubwa Cristiano Ronaldo alishindwa kuibeba Ureno katika mechi ya makundi ya Kombe la Euro baada ya kukosa penalti katika mechi dhidi ya Austria iliyoisha kwa sare ya bila kufungana.

Katika hatua ya nuus fainali, Argentina itarudi dimbani Jumatano kuwavaa wenyeji Marekani.

MECHI ZA NUSU FAINALI:
JUMATANO
USA vs Argentina 
ALHAMISI
Colombia vs Chile 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV