June 4, 2016


Bondia maarufu kuliko wote duniani Muhammad Ali amefariki dunia.

Ali Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74 akiwa amesumbuliwa kwa muds mrefu na ugonjwa wa kiharusi.Bondia maarufu kuliko wote duniani Muhammad Ali amefariki dunia.

Ali Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74 akiwa amesumbuliwa kwa muds mrefu na ugonjwa wa kiharusi.


Ali aliyekuwa akipenda kutamba “Im the greatest” akiwa anamaanisha yeye ni gwiji, alizaliwa Januari 17, 1942 katika eneo la Louisville, Kentucky nchini Marekani.

1 COMMENTS:

  1. Saleh ni vizuri kabla ya kuandika baadhi ya mambo ukapata ushauri wa wenye utaalamu. Sina hakika kama Kiharusi maana yake ni Parkinson. Muhammad Ali alikuwa akisumbuliwa na Parkinson ugonjwa ambao sijui kiswahili chake ni nini ila si Kiharusi.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV