June 15, 2016


Wakati wa Salum ‘Abo’ Telela kuondoka Yanga umefika na taarifa zinaeleza, benchi la ufundi limeridhia.

Mkataba wa Yanga na Telela umeisha, lakini inaonekana hakuna mpango wa kumuongeza usajili.

Kawaida ya Yanga kama inamhitaji mchezaji basi hata kabla wake kwisha, huwa inamalizana naye mara moja.


Safari hii utaona, hadi mkataba wa Telela unamalizika kabisa. Yanga imekuwa kimya ingawa imeelezwa, tayari Telela ameelezwa kwamba yuko huru. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV