June 1, 2016Taifa Stars inaivaa Misri katika mechi muhimu kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 


Achana na mambo ya kukaa nyumbani, jiulize nani ataiunga mkono timu yetu. Sikiliza ujumbe huu kutoka wadhamini wakuu wa Taifa Stars Kilimanjaro Premium Lager. TWENDE TUKAIUNGE MKONO TIMU YETU. TUWAPIGE MAFARAO.

video

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV