June 4, 2016

TAIFA STARS INASHUKA UWANJANI KWENYE DIMBA LA TAIFA KUWAVAA MISRI KATIKA MECHI YA KUWANIA KUCHEZA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA. WATANZANIA WANAOMBWA KWENDA KWA WINGI KUPAMBANA PAMOJA NA VIJANA WAO ILI KUSAIDIA KUWAFUNIKA MASHABIKI WA MISRI NA KUISHANGILIA TIMU YETU KWA NGUVU ZOTE. TAFADHARI TWENDENI TAIFA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV