YUSUF MANJI NAYE ATUPIA KURA YKE DIAMOND JUBILEE.... Mwenyekiti anayemaliza muda wake Yanga, Yusuf Manji amepiga kura yake katika uchaguzi unaoendelea kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment