July 3, 2016


Arsenal iko katika hatua za mwisho kumsainisha Mjapani, Takuma Asano.

Asano anatokea katika kikosi cha Sanfrecce Hiroshima akiwa na umri wa miaka 21 tu.

Mazungumzo kati ya klabu hizo mvili yamefikia pazuri na Asano amekubali kutua North London.

Kama kila kith kitakamilika, Asano atakuwa Mjapani wa tatu kuichezea Arsenal.


Kocha wao, Arsene Wenger alijiunga na Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus ya Japan.

Age: 21
Current club: Sanfrecce Hiroshima
Career record: 75 games 20 goals
International record: 4 games/1 goal


Honours: 2x J1 Leagues, 3x Japanese Super Cups, AFC U23 Championship, J League Rookie of the Year 2015  


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV