July 3, 2016Mario Balotelli amerejea katika timu yake ya Liverpool.

Balotelli ameonekana akiwa na wenzake katika uwanja wa mazoezi wa Liverpool eneo la Melwood tayari kwa msimu mpya.

Mshambuliaji huyo raia wa Italia, alipelekwa AC Milan kwa mkopo kwa msimu mzima.

Hata hivyo, akiwa AC Milan alishindwa pia kuonyesha cheche baada ya kufunga bao moja katika mechi 20.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV