July 1, 2016Mdhamini wa Klabu ya Simba, Ramesh Patel akipokea hati ya Kiwanja cha Bunju Plot no 226 Block 1 kutoka kwa Ofisa wa Ofisi ya Msajili wa Hati, Mpoki Mwalufunda na anayeshuhudia kwa nyuma ni Msajili Msaidizi wa Hati, Apollo Laizer.

Sasa Simba inaweza kuanza ujenzi wa uwanja wake wa mazoezi wakati wowote ule kwa kuwa jambo hilo ndiyo lilikuwa likiwakwamisha.

Taarifa za ndani zinaeleza, Simba walilazimika kusubiri hadi watakapopata hati hiyo ili waanze kazi ya ujenzi ambayo kama wangepata hati hiyo, wangeweza kuanza mwaka jana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV