Baada ya kufanya maandalizi ya kikosi chao kwa utaratibu mzuri kabisa, sasa uongozi wa Simba umeanza ujenzi wa kiwanja chake na uhakika msimu wa 2016-17, Simba itafanya mazoezi kwenye uwanja wake.
Ujenzi wa uwanja huo ulio Bunju umeanza kwa tingatinga kuanza kazi ya kusawazisha kifusi ambacho kimejazwa katika enero hilo.
Hii ni njia ya kuwafanya wanachama wa SSC waondokane na wazo la kumuuzia MO club. Muda wote hawakuona umuhimu huo wakichwza mpira kwenye magazeti na kwa kiasi kikubwa wameshinda. Ila anapokuja MO wanaona kuwa wanachama wanaweza kushawishika kumpa timu na wao watupwe nje hivyo wanawapiga changa la macho ili waone kuwa anachotaka kuleta MO nao wanakiweza. Naamini wanachama wa SSC kwa upeo wao mdogo wataingia mkenge pia.
ReplyDeleteHii ni njia ya kuwafanya wanachama wa SSC waondokane na wazo la kumuuzia MO club. Muda wote hawakuona umuhimu huo wakichwza mpira kwenye magazeti na kwa kiasi kikubwa wameshinda. Ila anapokuja MO wanaona kuwa wanachama wanaweza kushawishika kumpa timu na wao watupwe nje hivyo wanawapiga changa la macho ili waone kuwa anachotaka kuleta MO nao wanakiweza. Naamini wanachama wa SSC kwa upeo wao mdogo wataingia mkenge pia.
ReplyDelete