July 15, 2016


Marekebisho ya Uwanja wa Anfield unaomilikiwa na Liverpool yanaonekana kwenda vizuri na kwa mpangilio unaotakiwa.

Liverpool itaanza mechi zake tatu za Ligi Kuu England nje ya uwanja huo, yaani ugenini kwa kucheza na Arsenal, Burnley na Tottenham.

Wakati mechi ya kwanza nyumbani itakuwa Septemba 10 itakapocheza na mabingwa watetezi Leicester City.

MECHI 5 ZA MWANZO LIGI KUU ENGLAND:
Agosti 14 -Vs Arsenal (A)
Agosti  20 - Vs Burnley (A)
Agosti 27 - Vs Tottenham (A)
Septemba 10  Vs - Leicester (H)
Septemba 16 - Vs Chelsea (A) 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV