July 16, 2016MANENO YA HAJI MANARA, MSEMAJI WA SIMBA AMBAYE JICHO LAKE MOJA LIMEPATA TATIZO LA KUTOONA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Mwigulu Lameck Nchemba leo jioni alifika kunijulia hali na kuniahidi Serikali inaangalia namna ya kunisaidia zaid katika tiba yangu.
Naishukuru sana serikali yangu ya CCM.


Manara anatarajia kuondoka nchini kesho kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu ya macho yake yote mawili. Moja likiwa halioni kabisa na jingine linaona kwa kiasi kidogo kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV