July 4, 2016


Kikosi cha Yanga chini ya Kocha Hans van der Pluijm, kimeendelea na mazoezi leo kuajiandaa na mechi dhidi ya Medeama ya Ghana.

Mazoezi hayo yalifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.

Yanga itaivaa Yanga Medeama Julai 15 katika mechi ya Kombe la Shirikisho inayotarajiwa kuwa na mvuto.

Mechi hiyo itakuwa ni kama fainali kwa Yanga kwa kuwa imeishapoteza mechi mbili za Kundi A.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV