August 24, 2016

Baada ya kuanza kwa kupaka rangui nywele zake wiki za hivi karibuni, kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey ameendelea kuonyesha staili tofauti ya mitindo ya nywele, sasa ameamua kuzichonga katika staili ya kipekee.

Ramsay ambeye alianza kuonyesha madoido ya nywele alipokuwa akiitumikia timu ya taifa ya Wales katika Euro 2016 ameweka picha za muonekano wake mpya kupitia ukurasa wake wa Instagram akionekana amechonga pembeni huku baadhi ya sehemu akiwa  amepunguza nywele.

hivi ndivyo muonekao wake ulivyo kwa sasa:

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV