David Luiz amerejea jijini London na kujiunga tena na Chelsea.
PSG imekubali kumuachia kwa kitita cha pauni million 32.
Miaka miwili iliyopita ilimumnunua kutoka Chelsea kwa pauni million 50.
Tayari Luiz aria wa Brazil ametua jijini London na kufanya vipimo tayari kujiunga na Chelsea tena.
0 COMMENTS:
Post a Comment