August 10, 2016



Mchakato wa Usajili umefungwa Rasmi Usiku wa tarehe 6 ya mwezi huu na Ndanda FC imefanya Usajili wa Wachezaji 26.

MAKIPA.
Wilbert Mweta
Jackson Chove
Jeremia Kisubi

MABEKI;
Paul Ngalema
Azizi Sibo
Hemed Khoja
Bakari Mtama
Abdalah Heri
Bennito John
Ally Mohamed
Abuu Ubwa
Salvatory Nteba
VIUNGO.
Salum Telela
Wiliam Lucian
Braison Raphael
Ibrahim Isihaka
Benn Slyvester

WINGA.
Salum Minelly
Kiggi Makasi
Ahmad Msumi

WASHAMBULIAJI.
Omary Mponda
Riphati Hamisi
Shija Nkina
Herbet Lukindo
Nassoro Kapama
Buruhani Rashid


IMETOLEWA NA KURUGENZI YA HABARI YA NDANDA FC.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic