MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
Aje tu
ReplyDeleteHuyu anajua fitna za kiafica ila anafungamana sana na utopolo fc
ReplyDeleteHuwa siamini habari za blog hii ila kama itakuwa ni kweli basi sintoshangaa kumuona Mwinyi Zahera akiwa naye kwenye bench la ufundi
ReplyDeletewaBongo wakiona kichwa cha habari wanatoa conclusion 😂😂😂😂
ReplyDeleteKwa mwinyi zahera hapana, huyu ni utopolo 100%, itakuwa sawa na kusajili adui (mecenary)
ReplyDeleteHuyu mrithi mtajwa ni swahiba wake wa jasho na damu
DeleteDamu za utopolo hatuzitaki
ReplyDeleteSasa Kama mume wenu atamleta nyinyi mnajeuri ya kumkataa?
ReplyDelete