August 10, 2016
MAMA MZAZI WA POGBA AMENUNUA RUNDO LA JEZI ZA MWANAYE MARA TU BAADA YA KUANZA KUINGIA MTAANI IKIWA NI SAA CHACHE BAADA YA KUJIUNGA NA MAN UNITED AKITOKEA JUVENTUS.

IMEELEZWA MAMA HUYO ANAJIANDAA KUTOA ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI AMBAO NI WATU WAKE WA KARIBU. POGBA RAIA WA UFARANSA AMEJIUNGA NA MAN UNITED KWA KITITA CHA PAUNI MILIONI 100.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV