TASWIRA: YANGA IKIICHAKAZA AFRICAN LYON KWA MABAO 3-0 TAIFA Yanga imeanza Ligi Kuu Bara kwa kuitandika African Lyon kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ndiyo mabingwa watetezi na wameanza kulitetea kombe lao kwa kishindo. Cheki mapichaaz ya action.
0 COMMENTS:
Post a Comment